Unataka kupata wateja na kuongeza mauzo kupitia mitandao ya kijamii? Tengeneza video zinazowafundisha watu kuhusu huduma yako, faida wanazoweza kupata na jinsi unavyoweza kutatua changamoto zao. Usitumie video kuuza tu, toa elimu, jenga uaminifu na waonyeshe watu kwa nini wakuchague. #KupataWatejaMtandaoni #MauzoMtandaoni #BiasharaMtandaoni #ContentMarketing #SocialMediaMarketing — HiCreatorz