Mtandaomall
@mtandaomall
Consistency kwenye mitandao ya kijamii haiishii kwenye kupost kila siku. Unahitaji ratiba inayoeleweka, inayokuongoza nini cha kupost, muda gani na kwa siku zipi. Panga content zako za asubuhi, mchana na jioni, kisha simamia ratiba hiyo kwa nidhamu. Usipost kwa mazoea, post kwa mpango. #SocialMediaTips #ContentPlanning #Consistency #DigitalMarketingTanzania #BiasharaMtandaoni
Nov 22, 2026