Mtandaomall
@mtandaomall
Unahitaji kupata wateja na kuuza kupitia mitandao ya kijamii? Hakikisha content zako zina uhalisia na zinaonyesha thamani ya bidhaa au huduma unayotoa. Usitangaze tu, waonyeshe watu kwa nini wanahitaji kile unachouza. Hilo ni jambo la pili kati ya mambo matano muhimu. Tuendelee na jambo la tatu. #BiasharaMtandaoni #WatejaMtandaoni #UuzajiMtandaoni #SocialMediaMarketing #MtandaoPlus
Nov 14, 2026