Mtandaomall
@mtandaomall
Kabla hujaanza kutumia pesa kwenye Sponsored Ads, hakikisha umejifunza kuuza kupitia content za kawaida kwanza. Jenga uaminifu, elewa mahitaji ya wateja wako na tengeneza maudhui yanayoonyesha thamani ya bidhaa au huduma unayotoa. Content nzuri inaweza kukusaidia kupata wateja hata bila kutumia pesa kwenye matangazo. Sponsored Ads zina nafasi yake, lakini hazipaswi kuwa mwanzo wa kila kitu. Jifunze kuuza kwa content kwanza, kisha tumia matangazo kulikuza zaidi kile ambacho tayari kinafanya kazi. #SponsoredAds #DigitalMarketing #ContentMarketing #SocialMediaMarketing #OnlineBusiness
Nov 12, 2026